uislamu.net inawaletea kaseti ya video inayofundisha mambo yote yanayohusu mauti na kumtayarishi maiti, ikianzia adabu za kutembeleo wagonjwa hadi anapofariki akakoshwa na kuvikwa kafini (sanda) na kuzikwa, kaseti hii ni juhudi ya vijana wa hapa Oman, kaseti hii imepitiwa na Masheikhe wa ofisi kuu ya Mufti wa Oman.
Video zinapatika katika youtube ...
FADHILA ZA KUMI LA MWISHO
Assalaamu 'alaykum warahmatullah wabarakaatuh
Wapenzi Waslamu:
Alhamdulilal tunamshukuru Allah aliyetuwezesha kuifunga Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwawakati uliopita, Na hivi sasa waislamu wanalisubiri kwa hamu fadhila za kumi la mwisho la mwezi huu, siku kumi ambazo hupatika ndani yake kheri nyingi, ndani yake kuna usiku ambao ni ...
Suala: Mtu ameingiwa na mwiba kwenye macho yake. Na Doctor akamuamrisha atie dawa ya maji ya macho (eye drops) kila muda wa masaa mawili na huku amefunga.nini juu yake?
Jawabu: Jicho limewasiliana na koho (tumbo) ikiwa hiyo dawa ni ya maji, kwa hiyo nina ona alipe hizo siku baada ya ...
Alhamdulilah Rabil Aalamin. Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na kumtakia rehma Bwana Mtume Muhammad S.A.W na kuwatakia radhi wasahaba zake wote.
Amma Baad: Ndugu zangu Waislamu inampasa kila muislam azingatie jambo moja kubwa, nalo ni hizi neema nyingi zisizokuwa na mfano alizotuoa Mwenyezi Mungu. Binaadamu tokea anaamka asubuhi mpaka anakuja kuweka ...
بِسْمِ اللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1. Aya tukufu:
﴿وَٱتْلُ عَلَيْهِمْ نَبَأَ ٱبْنَىْ ءادَمَ بِٱلْحَقّ إِذْ قَرَّبَا قُرْبَـٰناً فَتُقُبّلَ مِن أَحَدِهِمَا وَلَمْ يُتَقَبَّلْ مِنَ ٱلآخَرِ قَالَ لاَقْتُلَنَّكَ قَالَ إِنَّمَا يَتَقَبَّلُ ٱللَّهُ مِنَ ٱلْمُتَّقِينَ﴾
﴾Na soma juu yao habari ya watoto wawili wa Adam; wakati walipopeleka sadaka zao; basi ilikubaliwa kwa mmoja wao na haikukubaliwa kwa ...
Wasomaji wa uislamu.net mnakaribishwa kutuma makala yenu, ili yapate kusomwa na wengine, tafadhalini tutumieni makala yenu katika anuani uislamu@hotmail.net
Kama utakuwa na ushauri
wowote kuhusu kusaidia ukumbi huu tafadhali tuma email