BARUA ZA WASOMAJI

 

 

KAMA UNA BARUA YAKO tutumie katika email yetu

 uislamu@uislamu.net

 

Ndugu zangu wasomaji wa ukumbi wa uislamu.net tumeona ni vyema kuwapa nafasi ndugu zetu wasomaji katika ukumbi huu na wao pia watoe maoni yao. Ndio tutaweka sehemu maalumu inshaalla hapo chini, itakuwa barua fulani kila wiki kutoka kwa yoyote yule anayetaka kuandika barua yake ili isomwe na ndugu zake waislamu ulimwengu mzima. barua hii tunaomba isiwe refu sana kiasi karatasi mbili au tatu, na unaweza kuandika ndani yake nasaha au mawaidha au dua fulani au kisa fulani au neno lolote lile unalolihisi litaleta faida kwa wasomaji wa ukumbi huu. Ukishaandika barua yako itume tu katika email yetu uislamu@uislamu.net pamoja na kuandika jina lako na anuani yako ukipenda, na sisi tutaiweka pahale pake na itaonekana muda ya wiki na wewe utapata fadhila zako kwa Allah.

 

SOMA BARUA ZILIZOPITA

Mkumbuke Allah

Hafidh Sawafi

     kutoka: Burundi (Bujumbura)

Mambo sita yanayomwingiza mtu Peponi.

Rashid

                        Oman

Kuhifadhi Quraan

Khalid Nassor

U.K