Maji kutoka katika ardhi ya kunyanganya
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh.
Nini hukumu ya utumiaji wa maji yaliyosambazwa katika jamii yakiwamo majengo ya misikiti; lakini kisima kinachotowa maji hayo kimechimbwa katika shamba la walio kuwa watoto yatima ambao walinyanganywa kwa nguvu za dola na kupewa mtu mwengine?
|