Latest Forum Threads

No Recent Activity

1 Visitor Messages

 1. asalaam aleykum
  mimi ni member wako yaani Hodihodi, pia ni member wa sekenke forum by taungamaa

  Naomba msaada wako; (maana kila nikitaka kuingia katika sekenke hio ndio message jana tu baada kuapata shida tokea majuzi jana ndio niliingia na leo naona tena matiatizo yale yale.

  Forbidden

  You don't have permission to access /bodi/showthread.php on this server.

  Additionally, a 403 Forbidden error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request.

  kwa hivy nakuomba uwapelekeee message bwana mahmood admin, na bwan al rashdiy 43 mod; je wamenifungia? ikiwa ehe jee na wewew utaweza kunistahmilia na ma thread yangu na bado kuliko hayo nnayo...azimio Islam to the true face...na kuna tatizo vyema tujadiliane hivi vyema.

  smahani kwa kosa lakuandika na au kusema kama unavyojua tena ulimi hauna mfupa lakini kauli njema "nisamehe" kwa kosa na nipe maliwazo.  simu yangu 92522862

  e mail yangu unayo

  nataraji jibu lako.
Showing Visitor Messages 1 to 1 of 1
About WALAD MUHAMMAD

Basic Information

Date of Birth
30-11-65 (49)
About WALAD MUHAMMAD
Biography:
PEMBA MUSALLAMA
Location:
SULTANATE OF OMAN
Interests:
TUAMRISHANE AMRI ZA MWENYEZI MUNGU
Occupation:
Administrator Marmul Omani OFS Schlumberger

Signature
لا إلهَ إلاّ اللّهُ

?????? ????? ?????????? ???????????

HAYA NI MAELEZO YALIYO WAZI KWA WATU (WOTE) NA OWONGOZI NA MAUIDHA KWA WAMCHAO (MWENYEZI MUNGU).

Mkumbushe Kwa Qurani Anayeogopa Onyo Langu.

Hayajawa Haya Maisha Ya Duniani Isipokuwa Ni Mtihani Tu, Na Matokeo Ya Mtihani Huu Iwapo Umepasi (Muislamu) Au Umefeli (Kafiri) Yatajulikana Baada Ya Kukata Roho Na Kuthibitishwa Baada Ya Kupokea Kitabu siku ya Qiyaamah.

WAZEE WANGU NA NDUGU ZANGU MUKIONA KOSA LOLOTE LILE KATIKA MAMBO HAYA YA KUAMRISHANA KHERI NA KUKATAZANA MABAYA NAKUOMBENI TUYAZAWAZISHE SISI SOTE NI UMMA MMOJA BABA MMOJA MAMA MMOJA DINI MOJA ALLAH MMOJA DAIMA TUSAIDIANE KATIKA KHERI DAIMA WASHUKRAN.. MTOTO WENU MWENYE HAMU YA RIDHA YA ALLAH SW KABLA YA MAUTI KUTUJIA-----++++ YA ALLAH SW TUONGOZE SOTE KATIKA NJIIA ILIYONYOOKA DAIMA AMIIN.

Statistics


Total Posts
Total Posts
1,094
Posts Per Day
0.28
Visitor Messages
Total Messages
1
Most Recent Message
11-08-11
General Information
Join Date
05-10-04
Referrals
1