Showing Visitor Messages 1 to 2 of 2
-
aSALAAM ALYKUM
SHEIKH NINAMAS-ALA
NAOMBA UNIPE USHAHIDI JUU YA HUKMU YA NDOA YA MUTAA NA NINI DALILI ZA WANAOJUZISHA NA VIPI KUZIRUDI DALILI ZAO?.
NINI HUKMU YA KUONDOA VINYWELEO VYA MIKONONI NA MIGUUNI?
-
Assalaam Alaikum,
Kwanza natanguliza shukrani zangu kwa waendeshaji wa forum hii,tunafaidika sana na malipo yenu kwa Allah.
Tunaomba msaada wa kujibiwa swaha hili:
Je mke humtoa(humtengua) udhu akimgusa mume wake?
Nawatakieni la kheri.