Showing Visitor Messages 1 to 1 of 1
-
Assalaam Alaikum,
Kwanza natanguliza shukrani zangu kwa waendeshaji wa forum hii,tunafaidika sana na malipo yenu kwa Allah.
Tunaomba msaada wa kujibiwa swaha hili:
Je mke humtoa(humtengua) udhu akimgusa mume wake?
Nawatakieni la kheri.