Latest Forum Threads

Results 1 to 2 of 2

Thread: Dawa kutumia matunda

 1. #1
  New Member
  Join Date
  15-08-05
  Posts
  5
  Rep Power
  0

  Exclamation Naomba nijibiwe swali

  Asalam aleykum, Sheikh nina swali kwamba kutumia kama matunda dawa kama kusaga kuweka usoni ili kutoa mapele sio zambi kufanya chakula hivi kwasababu niliomba dawa ya vipele inabidi nime ambiwa nitumie mananasi nisage. sasa sio zambi. Asanteni

 2. #2
  Msimamizi wa Masuala ya Dini Abukhalil's Avatar
  Join Date
  07-09-04
  Posts
  1,271
  Rep Power
  12

  Default

  Waalaykumussalaam warahmatu-LLahi wabarakaatuh.

  Jawabu:

  Hapana ubaya katika kutumia chakula kujipaka kwa ajili ya tiba. WaLLahu A'lam.

  Abukhalil.

Thread Information

Users Browsing this Thread

There are currently 1 users browsing this thread. (0 members and 1 guests)

Bookmarks

Posting Permissions

 • You may not post new threads
 • You may not post replies
 • You may not post attachments
 • You may not edit your posts
 •