Atachanganya juisi ya kitunguu maji na asali halafu atakunywa kiasi kikombe asubuhi na jioni .Ataendelea hivyo kwa muda wa mwezi mmoja hii inafaida kubwa.