![]() |
|
|||
|
Assalama Alaykum WarahmatuLlahi Wabarakaatuh,
Dada zetu wanauliza hivi, 1. Jee kukata kucha wakati wako katika siku zao za mwezi haijuzu? 2. Jee ikiwa wakati huu huu akichana nywele na zile ambazo zinotoka katika kitana ati ni lazima aziweke mpaka amalize siku zake halafu azitoharishe ndio azitupe. Haya makubwa kwangu. Hata kucha ati wazitoharishe kwanza halafu wazitupe. Tutoeni ujahili. |
| Bookmarks |
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) |
|
| Thread Tools | |
|
|