ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > UKUMBI WA MASUALA ya DINI

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 20-12-08,
Junion Member
 
Join Date: 09-02-05
Location: Oman
Posts: 114
Default Kuchinja katika Eid kubwa

AWW,

Ni siku ngapi za kuchinja katika eid kubwa, 3 au 4? Yaani tarehe za mwaka wa kiislamu (Hijri) 10 mpaka 12 au mpaka 13 alaasiri?

Tunaomba mutuelimishe.
Reply With Quote
  #2 (permalink)  
Old 21-12-08,
Abukhalil's Avatar
Msimamizi wa Masuala ya Dini
 
Join Date: 07-09-04
Posts: 1,202
Default

Waalaykumussalaam warahmatu-LLahi wabarakaatuh

Jawabu:

Siku za kuchinja udh'hiya ni nne: kuanzia baada ya sala ya eid al adh'ha tarekhe 10 Dhul-hijjah mpaka 13 Dhul-hijjah kabla kuchwa jua. Wa'LLahu A'lam.

Abukhalil.
Reply With Quote
  #3 (permalink)  
Old 22-02-10,
New Member
 
Join Date: 15-05-08
Posts: 25
Default

Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh
Jee! kuna tofauti katika ubora na fadhila za ibada hii kulingana na tofauti za siku au ubora na fadhila zake ni sawa katika siku zote
Reply With Quote
  #4 (permalink)  
Old 13-04-10,
Abukhalil's Avatar
Msimamizi wa Masuala ya Dini
 
Join Date: 07-09-04
Posts: 1,202
Default

Waalaykum Salam warahmatu-LLahi wabarakaatuh

Jawabu:

Naam, bila shaka kuchinja siku ya mwanzo kuna ubora na fadhila zaidi kuliko siku ya pili; kadhalika siku ya pili ni bora kuliko ya tatu, n.k.; kwani kuchinja wakati wa mwanzo ni katika kukimbilia mambo ya kheri, ambako kuna fadhila zaidi, kama ilivo kwa sala na ibada nyenginezo. Wa'LLahu A'lam.

Abukhalil.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.