ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > UKUMBI WA MATANGAZO na MAONI

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 06-06-09,
uislamu.net webmaster
 
Join Date: 17-07-04
Location: muscat
Posts: 821
Default Tangazo Muhimu kuhusu ukumbi

Assalam Aleykum Warahmatullah

Ndugu zangu wasomaji wa ukumbi huu wa uislamu.net napenda kuwatangazia kuwa tumerudisha back-up ya ukumbi huu ya tarehe 31 May 09, kwa hivyo wale members waliojisajili baada ya tarehe hii majina yao yatafutika automaticly, nawaomba watume email ya webmaster ili kuwasajili tena katika email hii: uislamu@hotmail.com

Na kwa walioandika makala kabla ya tarehe hii, pia tunawaomba warudie kuyatuma tena. Sababu ya tatizo hili ni kwa mara ya pili maaduwi wanajaribu kuvunja na kuhack ukumbi huu, kwa sababu wanazozijuwa wenyewe. Tokea jana mara mbili kila nikirudisha back-up wanaharibu tena, kwa sababu ya kutumia old version ya ukumbi huu. Na inshallah tunafanya kwa hima ili kuapdate na kuepukana na tatizo hili.

La mwisho tunawaambia mahasidi kufeni na chuki zenu, na sisi tutaendelea kazi kama kawaida wala hatuchoki. Nakushukuruni sana kwa utulivu wenu na subira, Allah awabarikie.

Asanteni
webmaster
__________________

uislamu.net webmaster
uislamu@hotmail.com
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.