ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > MAIN (ukumbi)

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 09-09-09,
uislamu.net webmaster
 
Join Date: 17-07-04
Location: muscat
Posts: 821
Default Zimebakia siku kumi -Tujitahidini

Assalam Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuhu

Ndugu zangu MGENI wetu tulokuwa tukimsubiri kwa hamu amekaribia kutuaga na kuondoka, zimabaki siku chache tunamuomba Allah atuwezeshe kukamilisha saumu hii, na khasa katika kumi la mwisho, Tujitahidini katika Salat na Qiyaam, kumi la laylatul Qadr, (kheyrun min Alfi Shahr)

Tunamuomba Allah atuwezeshe na atukubalie amali zetu..AMIN

shukran

webmaster
__________________

uislamu.net webmaster
uislamu@hotmail.com
Reply With Quote
  #2 (permalink)  
Old 09-09-09,
istiqama's Avatar
Msimamizi wa Ukumbi wa Matangazo
 
Join Date: 21-07-04
Posts: 395
Default

Tunakushukuru shaikh kwa kutunabahisha.
Hakika siku zilizobaki ni kidogo sana na kama hatujazitumia kwa ibada ya kweli basi tutakua yumepata hasara kubwa sana.Mwaka una siku 365 katika siku hizo tusubiri siku kumi tu kwa ajili ya kufanya daawa ya kikweli asa Allah akatujaalia laylatulqad.
Tunaomba mchukue likizo ili muingie IItikaaf siku zilizobaki raha na faida mtaiyon.
Nasaha: Dawra ya Sh Daood Businan inaanza kesho Masjid Al Jitali tunakuombeni muingie dawra hii muhimu.Wapigieni simu leo wafuatao kwa ajili ya kupata nafasi:
99445640
99226625
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.