ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > MAIN (ukumbi)

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 15-09-09,
uislamu.net webmaster
 
Join Date: 17-07-04
Location: muscat
Posts: 821
Default Wapi Utakwenda siku ya Eid??

Assalam Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuhu.

Ndugu zangu waislamu, mwezi wa Ramadhani umekaribia kutuaga, na watu wameshughulika katika kutafuta na kutayarisha vitu vizuri vya eid, ikiwa ni vyakula au mavazi...

Moja katika jambo zuri siku ya Eid ni ule mkusanyiko wa familia katika sehemu moja, wanapokutana jamaa na ndungu wakaulizana hali na kujuliana habari zao, hii ni neema kubwa anapaswa Allah kushukuriwa.

Kwa hivyo kama utakuwa na safari na marafiki zako, bora siku ya kwanza icheleweshe, ili upate nafasi ya kukaa na familia na jamaa na waliokaribu, kwani nafasi kama hizi si aghlabu kujumuika pamoja ila katika minasaba ya eid. Tunawatakia Waislamu mafanikio mema na umoja, na aliye mbali na familia na wazee wake, basi hata kama atakuwa na marafiki milioni hatakuwa si mwema kwako. Wa kufanyiwa wema kwanza ni wazazi na jamaa kabla ya wengine.

shukarn
uislam
__________________

uislamu.net webmaster
uislamu@hotmail.com
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.