![]() |
|
|||
|
Asalaam alaikum,
Ndugu zangu, Hivi karibuni kuna ndugu yetu alikuwa akiumwa na homa za mafua makali yaliopo hivi sasa hapa kwetu Oman.Akatokea mtu akimwambia atumie UBANI. Ubani wa kuchoma yaani ajifukize sio Ubani wa kula.Kujifukiza mara mbili au tatu kwa siku. Akafanya kama alivyoelekezwa na Allah akamjaalia shifaa akapona. Nakuombeni mfikishe ujumbe huu kwa ndugu zetu wengine. Allah atujaalie uzima,afya na siha kamili na atukinge na kila maradhi,amin. Wabilllahi at tawfiq, Akhuukum, Abu-Muslim |
![]() |
| Bookmarks |
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) |
|
| Thread Tools | |
|
|