ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > UKUMBI WA MASUALA ya DINI

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 01-02-10,
New Member
 
Join Date: 15-05-08
Posts: 24
Default Maji kutoka katika ardhi ya kunyanganya

Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh.

Nini hukumu ya utumiaji wa maji yaliyosambazwa katika jamii yakiwamo majengo ya misikiti; lakini kisima kinachotowa maji hayo kimechimbwa katika shamba la walio kuwa watoto yatima ambao walinyanganywa kwa nguvu za dola na kupewa mtu mwengine?
Reply With Quote
  #2 (permalink)  
Old 08-02-10,
Abukhalil's Avatar
Msimamizi wa Masuala ya Dini
 
Join Date: 07-09-04
Posts: 1,182
Default

Waalaykum Salaam warahmatu-LLahi wabarakaatuh

Jawabu:

Kwa mujibu wa wenye ilmu, utumiaji wa maji ya kisima kilichomo/kilichochimbwa katika shamba lilonyan'ganywa si haramu kwa asiyechukua/asiyenyan'ganya ardhi hiyo; kwani maji ya kisima hayamilikiwi na mtu; bali mwenye kisima anamiliki shimo lenyewe tu likiwa katika ardhi yake.

Dalili ya hayo ni kauli ya Mtume -rehma za Allah na amani zimshukie- "Waislamu ni washirika katika matatu: maji, nyasi, na moto"; imepokewa na Abu Daud, Ahmad, Ibnu Majah na wengine. Wa'LLahu A'lam.

Abukhalil.
Reply With Quote
  #3 (permalink)  
Old 03-03-10,
New Member
 
Join Date: 15-05-08
Posts: 24
Default

............"si haramu kwa asiyechukua/asiyenyan'ganya ardhi hiyo;" suali zaidi ni kutaka kujuwa katika hali hii nani atahisabiwa kuwa ni mwenye kunyanganya?
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.