![]() |
|
|||
|
Asalaam alaikum.
Angalieni hii link hapa chini. Hii ni habari njema kwa Uislamu na Waislamu. Tujitahidi kuitangaza Dini yetu ya Haki ili watu warudi kwenye njia ya Allah (S.W.T) makundi kwa makundi. YouTube - A Christian Minister's Conversion to Islam Dr.Jerald Dirks |
|
|||
|
Shukran Abu- Muslim- ALLAH SW atujaaliee mapenzi ya haki ya uislamu asaa tuwe wamoja kama ulivyo Uislamu aaamin..
Shukran Abu- Muslim---
__________________
لا إلهَ إلاّ اللّهُ ?????? ????? ?????????? ??????????? HAYA NI MAELEZO YALIYO WAZI KWA WATU (WOTE) NA OWONGOZI NA MAUIDHA KWA WAMCHAO (MWENYEZI MUNGU). Mkumbushe Kwa Qurani Anayeogopa Onyo Langu. Jitihada Kwetu Tumshinde Iblisi Dua Nakuombeeni. Furaha Kuwa Kivuli Chetu, Afya Njema Kuwa Mavazi Yetu, Amali Njema Kuwa Pambo Letu Pepo Kuwa Maskani Yetu Ya Milele Aamin Na Sipati Kuwezeshwa Haya Ila Na Mwenyezi Mungu. Kwake Yeye Ninategemea, Na Kwake Yeye Naelekea .
|
![]() |
| Bookmarks |
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) |
|
| Thread Tools | |
|
|