ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > UKUMBI WA AFYA na TIBA

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 23-02-10,
Moderator
 
Join Date: 10-09-04
Location: Mawaleh-Shamaliya,Oman
Posts: 225
Send a message via MSN to Abu-Muslim Send a message via Yahoo to Abu-Muslim
Default Dawa ya cholestrol hii...

Asalaam alaykum,

Zipo dawa za Hospital watu wanazotumia lakini na hii pia inafanya kazi nzuri.Kitunguu thomu unatafuna chembe moja kila siku,utajisikia nafuu kabisa.Kama huwezi kutafuna fanya juisi ya ukwaju kwa kusagia kitunguu ndani yake na kunywa kila siku.Kama huwezi basi kata chembe ndogo ndogo umeze na maji.
Ishara ya kuwa na cholestrol ni kuwa na maumivu ya kifua na nyengine ni uvutaji wa pumzi kuwa wa taabu hasa wakati wa kulala unakuwa unapata taabu sana.
Na pia mchaichai (GREEN TEA ) fanya hii iwe ndio chai yako.Usitumie majani ya chai ya kawaida.Utaona faida zake.Hii green tea ni nzuri sana hata kama mtu hana cholestrol ni bora kutumia chai hii kuliko majani ya chai ya kawaida.Green tea haina matatizo yoyote kwa binadamu.

Jaribuni dawa hizi inshaallah mtapata nafuu na afya njema,amin.

Wabillahi at tawfiq,

Akhuukum,

Abu-Muslim
Reply With Quote
  #2 (permalink)  
Old 24-07-10,
Moderator
 
Join Date: 05-10-04
Location: SULTANATE OF OMAN
Posts: 771
Default

Shukran
Abu-Muslim---ALLAH Akupe Kheri za Daima Aaamin
__________________


لا إلهَ إلاّ اللّهُ

?????? ????? ?????????? ???????????

HAYA NI MAELEZO YALIYO WAZI KWA WATU (WOTE) NA OWONGOZI NA MAUIDHA KWA WAMCHAO (MWENYEZI MUNGU).

Mkumbushe Kwa Qurani Anayeogopa Onyo Langu.

Jitihada Kwetu Tumshinde Iblisi

Dua Nakuombeeni. Furaha Kuwa Kivuli Chetu, Afya Njema Kuwa Mavazi Yetu, Amali Njema Kuwa Pambo Letu Pepo Kuwa Maskani Yetu Ya Milele Aamin

Na Sipati Kuwezeshwa Haya Ila Na Mwenyezi Mungu. Kwake Yeye Ninategemea, Na Kwake Yeye Naelekea
.
Reply With Quote
  #3 (permalink)  
Old 29-07-10,
Moderator
 
Join Date: 10-09-04
Location: Mawaleh-Shamaliya,Oman
Posts: 225
Send a message via MSN to Abu-Muslim Send a message via Yahoo to Abu-Muslim
Default Shukran

Shukran kwako pia.
Na kheri na barka zitushikie jamiia.
__________________
Sema: Enyi watu! Haki imekwisha kukujieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Basi anaye ongoka anaongoka kwa faida ya nafsi yake, na anaye potea anapotea kwa khasara ya nafsi yake. Na mimi si mwakilishi juu yenu. - Suratil Yunus :108


Wabillahi at tawfiq,

Akhuukum,

Abu-Muslim.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.