ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > UKUMBI WA MASUALA ya DINI

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 06-03-10,
Supper Member
 
Join Date: 21-02-05
Posts: 649
Default Kuhusu kuweka meno ya implants.

Assalam aleikum warahmatullah wabarakaatuh,


Ndugu yetu anauliza kama ifuatavyo:


Jee, meno ya implants yanafaa na si dhambi? Kwani mtu akifa anazikwa nayo hayo meno yanakuwa chuma kimezikwa kwenye fizi na ni meno bandia ambayo hayatoki tena yanakuwa kama ya kawaida. Na hii ni kwa ajili ya mtu aliekuwa hana meno kutokana na ajali au magonjwa mengine na doctor anashauri kumfanyia implants ambazo hazina sana usumbufu.
Reply With Quote
  #2 (permalink)  
Old 13-03-10,
Abukhalil's Avatar
Msimamizi wa Masuala ya Dini
 
Join Date: 07-09-04
Posts: 1,202
Default

Waalaykum Salaam warahmatu-LLahi wabarakaatuh

Jawabu:

Kwa mujibu wa wenye ilmu, madamu ni kwa ajili ya dharura aliyo nayo na hayana madhara yanaruhusiwa; na hapana neno kuzikwa nayo akifa ikiwa hayatoki bila kumdhuru. Wa'LLahu A'lam.

Abukhalil.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.