ukumbi  

Go Back   ukumbi > ukumbi Main Category > UKUMBI WA MATANGAZO na MAONI

Reply

 

LinkBack Thread Tools
  #1 (permalink)  
Old 07-03-10,
abunooh's Avatar
Msimamizi wa Ukumbi wa Habari
 
Join Date: 21-07-04
Posts: 137
Default Kupata bili zako kwa njia ya internet

Assalaamu alaykum warahmatu LLAAHI wabarakaatuh,

Kwa wale wanaoishi Oman, mara nyingi ukisubiri bili zako zipelekwe posta au uletewe nyumbani huenda miezi ikapita na khatimae madeni yakazidi kufika hadi hata ya kukatiwa khuduma.

OIFC - your satisfaction, our goal. hii ni website ya OIFC shirika la kutengeneza au kukushanya pesa na humo itakupasa uandike contract namba ya khuduma unayotumia ambayo imeandikwa katika bili na kisha unaweza kutoa bili yako ukailipa mapema.

Mbinaadamu mwenye busara ni yule anayefanya mambo yake kwa mpangilio.

Shukran
Reply With Quote
Reply

Bookmarks


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)

 
Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On



All times are GMT +5. The time now is .


Powered by vBulletin Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2010, Jelsoft Enterprises Ltd - Upgraded by SurCity.net.