![]() |
|
|||
|
Asalaam alaikum,
Ndugu waislamu tuangalieni hii video clip ya huyu kijana maskini mgonjwa wa akili kahifadhi Qura-aan yote mpaka namba za aya. Ni aibu kwetu sisi Allah s.w.t alotupa akili kamili lakini hatuna hata juzuu moja. من ذوي الإحتياجات الخاصة لا يعرف شيئاً غير القرآن و يحفظه حفظاً متقناً بأرقام الآيات .. ما شـاء الله .. شاهدوه على الرابط الأتي http://www.mashahd.net/view_video.ph...ffd7f7067784d5 He memorises Quran, and he is mentally sick, Mashaa Allah… Subhana Allah. Shame on us….we are fit physically and mentally and we still struggle to read Al Fatiha properly. Pls spare about 5 minutes and watch this, it might be an eye opener for us…………
__________________
Sema: Enyi watu! Haki imekwisha kukujieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Basi anaye ongoka anaongoka kwa faida ya nafsi yake, na anaye potea anapotea kwa khasara ya nafsi yake. Na mimi si mwakilishi juu yenu. - Suratil Yunus :108 Wabillahi at tawfiq, Akhuukum, Abu-Muslim. |
![]() |
| Bookmarks |
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) |
|
| Thread Tools | |
|
|