ANUANI

 Kujiandaa na Hija

 Kusafiri kwa Mdaiwa

 Namna za Kuhiji

 Vipi kuhirimia

 Kutufu na Kusa'ii

 Hukumu za siku ya 8

      Kuchinja
      Udhhiy'a
       Umra
       Fatwa za wanawake

 

Mlango wa Haj


 

MAONESHO YA HAJ KWA PICHA  - KUTUMIA POWER POINT

 

Endelea

 

 

Shukrani zote zinamstahikia Allah aliyefaradhisha kuihiji Nyumba Yake Takatifu, akaifanya hija mkutano mkuu wa kidunia wa Uislamu. Kisha rehema na amani zimshukie Nuru ya uongofu, Taa ya gizani, aliyesema: “Pokeeni kwangu ibada zenu za hija.”

Baada ya hayo:

Idara ya Muongozo wa Wanawake imeona umuhimu wa kufasiri kwa Kiswahili kitabu kilichotolewa na Kitengo cha Utafiti wa Kitaalamu katika Ofisi ya Fatwa kiitwacho “HAADHA HUWA ALHAJJ”, yaani “HUKU NDIKO KUHIJI” ili kuongeza manufaa yake kwa wasemao Kiswahili na kuwahudumia kati yao mahujaji wa Nyumba ya Allah Takatifu katika upande wa muongozo na maelekezo. Allah Ndiye wa kushukuriwa kwa mafanikio ya kutoka kwa toleo hili la Kiswahili na Yeye, Aliyetukuka Ndiye tunayemuomba anufaishe kwalo waja Wake.

 

 

Copyright © 2004-2005  www.uislamu.net