MILANGO

 Ijuwe Jumuiya

 Huduma za Jumuiya

 Lengo la Jumuiya

 Vyanzo vya mapato

 Mtazamo wa baadae

 Mahitajio ya Jumuiya

 Vipi Utasaidia

Hisabu za Benk

 

JUMUIYA YA ISTIQAMA NI SADAKA JARIA HUFANYIKA KATIKA NCHI ZIFUATAZO:

 

Tanzania
Burundi (picha)
Ruwanda
Uganda
Ghana
Mali
United Kingdom
Mombasa
Yemen
Kongo Democrasi
Nigeria
(Jarba)   France
Libiya
 
 

Anuani ya Mayatima

AL - ISTIQAAMA AL - KHAIRIYA

A/C. NO:

03 - 513397 - 03

Oman International Bank (SAOG)

Mina Al- Fahal (MNF) - SULTANATE OF OMAN

Count ya Mayatima

 

Idadi ya Wageni wa ukurasa huu

   

 

  يقول الله تعالى :     (وما تقدموا لأنفسكم من خير تجدوه عند الله هو خيرا وأعظم أجرا واستغفروا الله إن الله غفور رحيم)

 ( Chochote katika wema unachokifanya kwa ajili ya nafsi yako, basi ujira (thawabu) wake mkubwa na zaidi utaukuta mbele ya Mwenyezi Mungu ).

Baada ya Kumshukuru Allah na kumtakia rehma bwana Mtume ( S.A.W ) na kuwatakia radhi masahaba zake na kila mwenye kufuata mwendo wao mpaka siku ya mwisho.

Amma Baad:

Jumuiya ya Istiqama Inawakaribisha katika mtandao huu ulioundwa khususi kwa ajili ya kuwaelimisha Watukufu waislamu juhudi na huduma zote zinazotolewa na jumuiya. Fikra hii imekuja baada ya kuona ni vyema Waislamu wajue na wapate dalili kamili katika ile michango yao wanaypitowa kuwa haya mnayoyaona ndio matunda ya juhudi zenu, na kila mnachokitowa ikiwa mali au fiktra au ushauri, basi alhamdulilah mafanikio ni haya. Na vile vile hamasa ya kuwaomba waislamu waendelee na kazi hii tukufu itazidi baada ya kuziona juhudi hizi katika macho yao. Na jumuiya ya Istiqama iko tayari kujibu kila suala au kupokea kila ombi katika ukumbi huu. Na kazi hii ni yetu sote si ya Raisi ya Jumuiya na makamo wake, bali kila mmoja ni wajibu wake kuchangia kwa alichokuwa nacho.

 

 Kuwasomesha Watoto Quraan na elimu nyengine

                                      

 kuchimba visima vya waqfu na kujenga misikiti

اجمالي البرامج الجديدة التي اضيفت لهذا التصنيف هذا الاسبوع

                                  

Hii ni baadhi ya milango ya juhdi za Jumuiya ya Istiqama

Chuo cha Kiislam Tunguu

Zanzibar

                                     

 

 kuwatazama Mayatima

                          
 

 

 

MSAADA WA KUKAMILISHA SHULE YA (ZIWANI & MKANJUNI & KONDE) Kisiwai Pemba

Ndugu zetu Waislamu kama mnavyofahamu umuhimu wa shule na usomeshaji wa watoto katika jamii yetu. Na kuwepo haja ya kuimarisha shule hizi ni jambo la muhimu na la kufanyiwa jitihada kubwa. Jumuiya ya Istiqama Al Khayria inawatangazia na kuwaombeni misaada katika kujenga shule zifuatazo..... endelea

 

JUMUIYA YA ISTIQAMA

Ndugu zangu Waislamu. Hizi ni baadhi ya picha zinazojieleza wenyewe kuhusu juhudi ya Jumuiya ya Istiqama katika sehemu mbali mbali Tanzania. Juhudi hizi husimama kwa misaada ya Waislamu pale wanapojitahidi kutoa mali zao. Ndugu zangu huduma nyingi hufaidika Waislamu wenzanu katika sehemu mbali mbali miongoni mwao mayatima. Miongoni mwa huduma hizo; kujenga misikiti na madrasa za kusomesha Quraan na kuchimba visima vya waqfu, pamoja na kulisha na kuvisha masikini, misada yote hii hupokelewa na Wahusika waliojitolea wakati wao katika kuutumikia uislamu na kuendesha mbele Juhudi za Jumuiya.

Kwa kupata habari zaidi kuhusu Jumuiya ya Istiqama na maendeleo yake, pamoja na michango, tafadhali wasiliana ya Wahusika wa Jumuiya hii.

Mohammed bin Salim bin Ahmed Al-Busaidy

P.O.Box 1118, P.C. 111, Seeb, Sultanate of Oman

Tel: 24675232off . 24535100 res. 99353988gsm.

International code: (00968)

         Mohamed.MS.Busaidy@pdo.co.om

Zahir bin Khalifa bin Zahir

Al-Alawi

P.O.Box 816, P.C. 112 ,Ruwi, Sultanate of Oman

Tel: 24560216 res. 99358495 gsm.

International code: (00968)

e- mail: istiqama@omantel.net.om

e-mail: zahir000@hotmail.com

 

Copyright © 2005  All right reserved for www.uislam.net