AYA ZA KINGA KATIKA QURAAN

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhu. Ndugu Waislamu watu wengi hupata shida katika kutafuta waganga na wanaotibu maradhi ya kienyeji, ikiwa uchawi au tupatwa na jini au kudhurika na kitu chochote kile. Alhamdullah Mwenyezi Mungu katuteremshia katika kitabu chake kinga anaweza kila Muislamu kujitibu kwa kutumia Aya hizi. Kasema Mwenyezi Mungu katika Quraan:

   (ونزلنا من القرآن ما هو شفاء ورحمة للمؤمنين)

"Na tukateremsha katika Quraan tiba na rehma kwa waumini"

Ndugu Muislam soma Aya hizi za tiba kila siku kama unaweza. na unaweza hata kumsomea mgonjwa, na hata kuyasomea maji kisha ukanywa. Na weka imani kwa Mola wako kwamba yeye ndiye mponeshaji wa kila maradhi na Inshaalla atakuondolea maradhi yako.

 

PAGE NO  1

PAGE NO  2

PAGE NO  3