Anuani

  Bibi Hajir

Mama yake Sayidna Ismail

  Bibi Yukabin

Mama yake Sayidna Musa

  Bibi Maryam

Mama yake Nabii Issa

   Mama yake Mtume S.A.W

Kimeandikwa na:

Sheikh: Said Al Hatmi

Mamama wa Mitume

MAMAMA WA MITUME

Ukisoma habari za watu wakubwa wote duniyani bila shaka utawona kuwa nyuma yawo kuna wanawake ndiwo waliokuwa sababu ya hivi walivyokuwa wawo. Sana mwanamke aliyesababisha huyu mtu kuwa hivi ni mama aw aliyechukuwa pahala pa mama kama yaya aw mlezi aw hata mke aw ndugu na kama hivi.

Asili ya Mlango  huu ni kitabu kilichoandikwa na Sheikh Said Al Hatmi tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe afya njema.

 

 

Copyright © www.uislamu.net