Picha Nyumba ya sanaa
Picha Nyumba ya sanaa
Burundi 2007
Msafara wa Samahat Sheikh Ahmed Al-Khalili (Mufti Mkuu wa Oman) katika nchi ya Burundi tarehe 14/2/2007 Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na kumtakia rehma Bwana Mtume S.A.W hii ni takriri kamili ya msafa wa Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamed Al-Khalili katika nchi ya (BURUNDI) Katika tarehe 14 Februari 2007 Alifika Samahat Sheikh Al-Khalili uwanja wa ndege Mjini Bujumbura mji mkuu wa Burundi, baada ya kupata mualiko kutoka kwa waomani wanaoishi huko. Alhamdulilah mapokezi yalikuwa mazuri na katika mapokeleo ya hali ya juu kwa kuwafikiana na uheshimiwa wa Mufti na wale waliofuatana nae.
Safari ya Samahat Sheikh Ahmed Al-Khalili Zanzibar
Samahat Sheikh Al Khalili alitembelea katika safari yake Chuo cha Kiislamu kinachosimamiwa na Jumuiya ya Istiqama zanzibar (Tunguu). Na safari hii ilikuwa baada ya kutoka Burundi. Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa na Jumuiya ya Istiqama Al Kharyia.
Jumuiya ya Istiqama
Jumuiya ya Istiqama



