![]() |
ELIMU ZA TAJWEED uislamu.net ikitanguliza kutoa shukurani za dhati kwa ndugu zetu wa Madrasati Nuur, ilioko U.K kwa kututumia makala haya yanayoelimisha hukumu za tajweed kwa lugha ya kiswahili. Tunamuomba Allah ajalie kazi hii iwe katika njia ya Allah Pekee. |
||||||
Na Darsa zinazofualitia zitawekwa kwa wasomaji, tukizipata Inshaalah. Imetolewa na Madrasatu Nuur
|
|||||||