TOBA YA MZINIFU

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhu. Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na kumtakia rehma Bwana Mtume Muhammad S.A.W. Ama Baad: Hili ni jawabu la suala aliloulizwa Mheshimiwa Mufti Mkuu wa Oman. Sheikh Ahmed bin Hamed Al-Khalili kuhusu toba ya mzinifu, Suala hili liliulizwa baada ya kuzuka fatwa isiyokuwa ya kweli kwamba mzinifu hana toba, lazima ajitambulishe na apigwe bakora, au atakuwa hana toba, ili  watu wawe wazi katika maarifa ya Dini yao, wanapaswa kuchukuwa Fatwa kwa Maulamaa waliosoma sio kila apitae njia, na kujisemea bila ya elimu. Tafadhalini someni kwa makini na isambazeni fatwa hii ili watu waijue.

 

Copyright ©2004  Uislam.net