VYANZO VYA MAPATO/VITEGA UCHUMI:

 

Kwa kawaida, Jumuiya za kiislam tegemeo lake kubwa la kuendesha miradi yake ni:

1. Takrima za wacha Mungu na wenye kutaka radhi za Mwenyezi Mungu Subhanahu Wataala.

2. Sadaka.

3. Zakka

4. Baadhi ya miradi midogo ambayo michango yake imekamilika, ambayo kutokana na   michango hiyo watu wa kipato kidogo wanafunzwa namna ya kuinua kiwango chao cha maisha.

5. Wafadhili kama nyinyi.

6. Kuweka wakfu maalumu ya kuendeshea mambo ya kheri.

 

Copyright ©2004  Uislam.net